Mafunzo ya Uandishi wa Kiraia na matumizi ya intaneti kwa waandishi wa habari wa mikoa ya Dodoma na Singida. Kuanzia Septemba 5-7 2011 mjini Dodoma.
Waandaaji ni MISA-Tanzania
VIKES Foundation (Mfuko wa Vyombo vya Habari, Mawasiliano na Maendeleo Finland) kwa msaada wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Finland.
Mkufunzi ni Maggid Mjengwa.
Wednesday, September 7, 2011
Mzee wa vijisenti akitunga sheria
mjengwa.blogspot.com/
Ni yuleyule mzee wa vijisenti
Chenge akitafakari baada ya vijisenti vyake kufichuliwa
Huyu mzee ni hatari sana kwa uchumi wa nchi, laiti ingekuwa kwetu China lazima angenyongwa kwa tai yake mwenyewe.
ReplyDelete