Mafunzo ya Uandishi wa Kiraia na matumizi ya intaneti kwa waandishi wa habari wa mikoa ya Dodoma na Singida. Kuanzia Septemba 5-7 2011 mjini Dodoma.
Waandaaji ni MISA-Tanzania
VIKES Foundation (Mfuko wa Vyombo vya Habari, Mawasiliano na Maendeleo Finland) kwa msaada wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Finland.
Mkufunzi ni Maggid Mjengwa.
No comments:
Post a Comment